Habari

UZINDUZI WA MT. UKOMBOZI II.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amelitaka Shirika la Meli Zanzibar kuwa na mipango madhubuti ya mafunzo kwa watendaji na waongozaji wa vyombo vya…

Soma Zaidi

SALAM ZA PONGEZI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamuhuri ya Watu wa China Xi Jinping pamoja na wananchi wa Taifa hilo kwa kuadhimisha…

Soma Zaidi

UTEUZI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEWASILI ZANZIBAR AKITOKEA RAS AL KHAIMAH BAADA YA KUMALIZA ZIARA YA WIKI MOJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amerejea nchini leo akitokea Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambapo alifanya ziara nchini Ras Al Khaimah pamoja…

Soma Zaidi

SMZ YATILIANA SAINI NA KHALIFA FUND.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameshiriki katika utiaji saini Mkataba wa Makubaliano kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Umoja wa Nchi za…

Soma Zaidi
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa akisaini kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ukarabati na ujenzi wa Hospital ya Wete Kisiwani Pemba na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abudhabi.Sheikh. Mohammed Saif

SMZ YATILIANA SAINI NA MFUKO WA MAENDELEO WA ABU DHABI.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kupitia Mfuko wa Maendeleo wa Abudhabi zimetiliana saini Mkataba wa Makubaliano (MOU) juu ya ujenzi na matengenezo…

Soma Zaidi

DK. SHEIN AMEKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI YA SERA NA UTAFITI YA SHEIKH SAUD AL QASIMI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iko tayari kushirikiana na Serikali ya Ras Al Khaimah katika kuanzisha…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh.Dk Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Kampuni ya Kimataifa ya Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia cha Ras Al Khaimah (RAK GAS).

DK.SHEIN AMETEMBELEA KIWANDA CHA UCHIMBAJI WA MAFUTA NA GESI (RAK GES).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea kiwanda cha Kampuni ya Kimataifa ya Utafiti na Uchimbaji wa Mafuta na Gesi Asilia ya Ras Al Khaimah“RAK…

Soma Zaidi