Habari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Mhe. Haroun Ali Suleiman , aliyekuwa Waziri wa Kwanza wa Elimu wakati kikiazishwa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzi

DK. SHEIN AMEHUTUBIA HAFLA YA KUSHEREHEKEA MAFANIKIO YA SUZA TOKA KUAZISHWA KWAKE.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ni matokeo ya kutafsiri kwa vitendo dhamira ya…

Soma Zaidi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Issa Haji  Ussi (Gavu) alipokuwa akifungua  Mafunzo ya Upishi na Ukarimu kwa Taasisi za Serikali na Binafsi leo ambayo yatayoendeshwa na Wakufunzi kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa

UFUNGUZI WA MAFUNZO YA MAPISHI NA UKARIMU ZANZIBAR.

WAZIRI wa Nchi (OR) na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Issa Haji Ussi ‘Gavu’ amesema uamuzi wa Serikali wa kuwaomba washrika wa maendeleo kutoka China kufanya mafunzo ya Upishi na Ukarimu…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEKUTANA NA KATIBU MKUU WA KAMATI KUU YA CHAMA CHA KIKOMINISTI CHA CHINA.

JAMHURI ya Watu wa China imepongezwa kwa kuendeleza utamaduni wake wa kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo kwa kuleta wataalamu kutoka nchini humo kuja kutoa mafunzo hapa…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata Utepe wa Vitabu vya Mpango kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika katika  ukumbi wa Idris Abdulwak

UZINDUZI MPANGO SHIKIRISHI WA KUTOKOMEZA KIPINDUPINDU ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alisema serikali ina wajibu wa kuwatunza na kusimamia Afya za wananchi, kwa kuhakikisha wanaondokana na maradhi mbali…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake  wakati alipokuwa akiwapongeza Wanafunzi  waliofaulu Mitihani ya Taifa ya kidato cha Nne na Sita pamoja kuwaalika chakula cha mchana katika hafla iliyofanyika le

DK.SHEIN AMEWAPONGEZA WANAFUNZI WALIOFAULU MITIHANI YA TAIFA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametangaza kuongeza nafasi 60 badala ya 30 alizozitoa mwaka jana za udhamini wa masomo kwa wanafunzi bora wa Kidato…

Soma Zaidi

Dk.Shein amezungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba.

JAMHURI ya Watu wa Cuba imepongezwa kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya afya na kuelezwa haja ya kutoa nafasi za masomo ya Udaktari Bingwa kwa Madaktari wa Zanzibar.

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake katika   ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo katika ukumbi wa Idris AbdulWakil,Vuga M

MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA -UTPC.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka waandishi wa habari nchini, kuondokana na utamaduni wa kufanya kazi kwa mazoweya, kwani sio sifa ya uandishi…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI, OFISI YA MAKAMO WA PILI WA RAIS.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza dhamira ya Serikali katika kulipa kipaumbele suala la kufanya utafiti, kuwa inalenga kuzitafutia majibu…

Soma Zaidi