RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA VIJANA,UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa ni jambo baya sana na halikubaliki katika jamii kwa wasanii kuibiwa kazi zao na wajanja wachache ambao…

Soma Zaidi
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Vuai Mwinyi akitowa shukrani kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini baada ya kumalizika hafla ya Futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Chuo

MKOA WA KASKAZINI UNGUJA UMEMPONGEZA DK. SHEIN

WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja waeleza kuridhishwa na juhudi za Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika kuwapelekea maendeleo endelevu ikiwemo…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar kwa mwezi Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika ukumbi wa

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO,MALIASILI,MIFUGO NA UVUVI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shen ameutaka uongozi wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kuwaangalia kwa karibu wafanyabiashara wanaokausha…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wafanyakani wa Benki ya Watu wa Zanzibar na Wananchi katika futari ilioandaliwa na PBZ, katika hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

WAFANYABIASHARA WAMEENDELEA KUSISITIZWA JUU YA BEI KWA BIDHAA ZAO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ameendelea kuwasisitiza wafanyabiashara kutowauzia wananchi bidhaa kwa bei ya juu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ali Juma Shamuhuna wakati wa maziko hayo yaliofanyika katika Kijiji cha Imiyani Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja.

DK.SHEIN AMEONGOZA WANANCHI KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU ALI JUMA SHAMUHUNA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein ameongoza mamia ya wananchi katika mazishi ya Marehemu Ali Juma Shamuhuna yaliyofanyika kijijini kwao Donge Eneani,…

Soma Zaidi
WAZIRI wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim, akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake kuazia mwezi julai 2018 hadi March 2019, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesistiza haja kwa Wizara ya Katiba na Sheria kuandaa taratibu maalum za kuwaelimisha wananchi kuhusiana na sheria…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi na Wanamichezo katika maziko ya Marehemu Ali Ferej Tamim, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira Zanzibar(ZFA) yaliofanyika katika makaburi ya Mwanakw

DK. SHEIN AMESHIRIKI KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU ALI FEREJ TAMIM.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameongoza mazishi ya Marehemu Ali Ferej Tamim huko katika Makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja na kuungana na ndugu,…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba, katika futari aliyowaandalia katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua.

WANANCHI WA MKANYAGENI WAMEMPONGEZA DK. SHEIN

WANANCHI wa Mkanyageni wamempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa kuendeleza utamaduni wake wa kuwafutarisha wazee, ndugu na jamaa zake…

Soma Zaidi