Habari

Dk.Shein ameupongeza uongozi wa Makampuni ya Okan yenye Makao Makuu yake nchini Uturuki.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza azma ya uongozi wa Makampuni ya Okan yenye makao makuu yake nchini Uturuki inayokusudia kujenga hospitali…

Soma Zaidi

Dk.Shein amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu nchini kuendeleza upendo na mshikamano katika Dini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohammed Shein amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu nchini kuendeleza upendo na mshikamano, ili kuimarisha dini hiyo pamoja na kupata…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEPONGEZWA KWA UPATIKANAJI WA MAJI RAMADHANI.

WANANCHI wanaoishi katika maeneo yenye shida ya maji Zanzibar wamempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa kutekelezwa vyema agizo alilolitoa kwa…

Soma Zaidi
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa katika futari aliyowaandalia Watoto wa Nyumba ya Serikali ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar.

MAMA MWANAMWEMA SHEIN AMEJUMUIKA NA WATOTO WA NYUMBA YA WATOTO YATIMA MAZIZINI.

WAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Moudline Castico ameipongeza jamii ya Wazanzibar kwa juhudi inazozichukuwa katika utunzaji wa familia, na hivyo kupunguza tatizo la utupaji…

Soma Zaidi
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar , katika Futari Maalum aliyowaandalia katika makazi yao.

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN AMEJUMUIKA NA WATOTO WA KIJIJI CHA SOS KATIKA FUTARI.

WAZANZIBARI wametakiwa kuthamini na kuunga mkono juhudi za Serikali katika kusimamia na kudumisha amani na utulivu uliopo nchini, hatua inayotowa fursa kwa waumini kuweza kuabudu bila taabu.

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika futari aliyowaandalia katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. H

Dk.Shein amewataka waumini wa Dini ya Kiislam kuzidisha ibada na upendo katika mwezi wa Ramadhani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein amefutari pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja na kuwataka waumini wa dini ya Kiislamu kuzidisha ibada…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi, kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 ha

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,ameupongeza uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa kuendelea kuonesha taswira njema katika…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijiandaa kuanza Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi,wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.

MIKAKATI MAALUM INAHITAJIKA ILI KUUENDELEZA MJI WA ZANZIBAR KUWA SAFI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein,ameeleza haja kwa Baraza la Manispaa Mjini kuweka mikakati maalum katika kuendelea kuuweka Mji wa Zanzibar kuwa safi…

Soma Zaidi