Habari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akishiriki katika kisoma cha Hitma na dua kumuombea Marehemu Dr. Badria Abubakar Gurnah.

DK SHEIN AMEHUDHURIA HITMA YA DR. BADRIA ABUBAKAR GURNAL.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein ameongoza hitma ya kumuombea Dk. Badriya Abubakar Gurnal mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla…

Soma Zaidi
Rais wa ZAnzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Ali Mohamed Shein, akifungwa kiskafu na Vijana wa Skauti kushoto Halima Ali Makame na kulia Lutfia Juma Ali, baada ya kuwasili katika viwanja vya Mpira vya Maisara Suleiman Zanzibar kuhudhuria

DK. ALI MOHAMED SHEIN AMEHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 107 YA SKAUTI.

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali imetakiwa kuhakikisha kwamba katika mipango na taratibu wanazoziandaa ni vyema wakajipanga vizuri ili uwepo mfumo bora na endelevu wa uratibu na usimamizi…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanylia leo katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS WA ZANZIBAR AMEMUAPISHA MKUU WA KVZ ZANZIBAR MAJOR SAID ALI JUMA SHAMUHUNA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemuapisha Major Said Ali Juma Shamuhuna kuwa Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ).

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Ndg. Mwita Mgeni Mwita, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

DK.SHEIN AMEWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni kushika nyadhifa mbali mbali katika Taasisi za Serikali ya Mapinduzi…

Soma Zaidi

UTEUZI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifutavyo:-

Soma Zaidi