RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Jukwaa Kuu wakiimba wimbo wa Taifa wa Zanzibar wakati wa Tamasha la Mazoezi  yaliofanyika Uwanja wa Gombani Pemba.

DK.SHEIN AMESHIRIKI KATIKA TAMASHA LA MAZOEZI KISIWANI PEMBA.

Kwa kutambua umuhimu wa michezo kwa maendeleo ya Zanzibar Awamu zote Saba za uongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimefanya jitihada mbali mbali za kuimarisha sekta ya michezo ikiwemo…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa Risala ya Mwaka Mpya wa 2019,Ikulu Zanzibar.

RISALA YA MWAKA MPYA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi wa Zanzibar kuendelea kuidumisha hali ya amani na utulivu ambayo ndio msingi wa mafanikio yanayoendelea…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani  Karume Zanzibar, akitokea Nchini Uinge

RAIS WA ZANZIBAR AKIWASILI LEO AKITOKEA NCHINI UINGEREZA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amerudi nchini leo akitokea Uingereza.

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar.

DK.SHEIN AMEFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA KISWAHILI LA KIMATAIFA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein, amesema Kongamano la Kiswahili linaloendelea lina mchango muhimu katika kuendeleza historia, maendeleo ya Kiswahili…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA UWT TAIFA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa wanawake wa Tanzania ndio waliokuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanzania Bara na Zanzibar…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania,Balozi Song Geum-young, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar

DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA BALOZI WA KOREA NCHINI TANZANIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inathamini juhudi za Jamhuri ya Korea za kuendelea kuiunga mkono Zanzibar…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Madaktari Bingwa kutoka Nchini China.

DK. SHEIN AMEZINDUA MRADI WA UCHUGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka akinamama kote nchini kupeana elimu juu ya umuhimu wa kuchunguzwa saratani ya shingo ya kizazi pamoja na…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania, Dkt. Tigest Ketsela Mengestu.

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA MWAKILISHI MKAAZI WA (WHO) NCHINI TANZANIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza mikakati inayochukuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kupambana na maradhi mbali mbali yakiwemo…

Soma Zaidi