Habari

Uzinduzi wa Chanjo mpya dhidi ya maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein amesema kuwa kuanzishwa kwa Chanjo mpya ya maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi itatokomeza maradhi hayo kama yalivyotokomezwa maradhi…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimsikiliza  Mwenyekiti wa Kampuni ya

Dk. Shein Amekutana na Ujumbe wa Kampuni ya Kushan Asia Aroma Cooperation Limited Kutoka China

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Kampuni ya ‘Kunshan Asia Aroma Cooperation Limited” kutoka nchini China kwa uamuzi wake wa kuja kuekeza…

Soma Zaidi

Dk.Shein ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Karume

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliyofanyika…

Soma Zaidi

Dk.Shein amekutana na Mabalozi wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Urusi na Rwanda.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja kwa Mabalozi wanaokwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Urusi na Rwanda kutekeleza Sera ya Diplomasia…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  timu ya Madaktari kutoka China inayoongozwa na  Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu wakati timu hiyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.

DK. Shein Amekutana na Ujumbe wa Madaktari Kutoka China

HOSPITALI ya Drum Tower ya Mjini Naijing katika Jimbo la Jiangsu ya nchini China imeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya afya.Rais wa Hospitali hiyo Han Gungshu akiwa…

Soma Zaidi

Ufunguzi wa Kongamano la kumbukumbu ya Rais wa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa kuna kila sababu ya kumuenzi Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kwa kuikomboa Zanzibar na kuwaachia Wazanzibari…

Soma Zaidi

Dk.Shein ametembelea eneo la Mpigaduri linalotarajiwa kujengwa bandari mpya

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametembelea eneo la Mpigaduri linalotarajiwa kujengwa bandari mpya pamoja na eneo la Kinazini linalotarajiwa kujengwa…

Soma Zaidi

Dk. Shein amekutana na Bodi ya Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa azma ya Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kuandaa Kongamano la Kumbukumbu ya kumuenzi Marehemu Sheikh…

Soma Zaidi