Programu ya kuwapatia Wanafunzi wa kike taulo za kike ni Program ya Mama ya Taasisi hiyo ni ya endelevu.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amesema Programu ya Kuwapatia Wanafunzi wa Kike Taulo za Kike ni Program Mama ya Taasisi hiyo na ni Endelevu.Mama Mariam Mwinyi ambae ni Mwenyekiti…
Soma Zaidi