Dk. Hussein Ali Mwinyi alisema ili Taifa liwe na amani, ni lazima kuhakikisha kila mwananchi anapata haki zake za msingi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alisema ili Taifa liwe na amani, ni lazima kuhakikisha kila mwananchi anapata haki zake za msingi.Dk. Mwinyi amesema…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwa mwaka wa fedha 2022/2023, Serikali itaongeza mshahara kwa kutumia utaratibu wa kuwapanga watumishi katika madaraja na vyeo kwa mujibu wa miundo ya utumishi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwa mwaka wa fedha 2022/2023, Serikali itaongeza mshahara kwa kutumia utaratibu wa kuwapanga watumishi katika…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan kwa kuja na wazo la kutayarisha Filamu ya ‘The Royal Tours’

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan kwa kuja na wazo la kutayarisha Filamu…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amelipongeza Shirika la Fedha Duniani (IMF), kwa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha uchumi wake.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amelipongeza Shirika la Fedha Duniani (IMF), kwa kuendelea kuinga mkono Zanzibar katika kuimarisha uchumi wake.Rais…

Read More