Rais wa Zanzibar na MB LM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Chakula Duniani Nchini Tanzania Bi.Sarah Gordon-Gibson Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza mikakati na mipango iliyowekwa na Shirika la Chakula Duniani (WFP), kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wananchi kuendeleza utiifu na tabia njema walizokuwa nazo katika kipindi chote cha mwezi wa Ramadhani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wananchi kuendeleza utiifu na tabia njema walizokuwa nazo katika kipindi chote cha mwezi wa Ramadhani…

Soma Zaidi

MKE wa Rais wa Zanzibar na MBLM Mama Mariam Mwinyi amewataka watoto Yatima pamoja na wanaoishi katika mazingira magumu kuendeleza mambo mema waliyojifunza katika mwezi mtukufu wa Ramadhan

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi amewataka watoto Yatima pamoja na wanaoishi katika mazingira magumu kuendeleza mambo mema waliyojifunza katika…

Soma Zaidi

Mama Mariam Mwinyi ameitaka jamii kuwaangalia kwa jicho la huruma na kuwasaidia watoto yatima wanaoishi na virusi na Ukimwi (VVU)

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi ameitaka jamii kuwaangalia kwa jicho la huruma na kuwasaidia watoto yatima wanaoishi na virusi na Ukimwi (VVU)…

Soma Zaidi