News and Events

Rais wa Zanzibar na MBLM Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Agosti 25, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Agosti 25, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania.

Soma Zaidi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameivunja Bodi ya Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameivunja Bodi ya Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) kuanzia leo tarehe 20 Agosti, 2021.

Soma Zaidi