News and Events

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Zanzibar(ZIC) kuanzia tarehe 18 Agosti, 2021 Na kumteuwa…

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman aliyemaliza muda wa uwakilishi nchini Tanzania.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Agosti 16, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman aliyemaliza muda wa uwakilishi nchini Tanzania…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Uviko-19

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Uviko-19, akibainisha kuwa mbali na ugonjwa…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi,amekutana na kufanya mazungumzo na Kamisaa Mkuu wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Mhe.  Anne Semamba Makinda.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 12 Agosti, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamisaa Mkuu wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza ushirikiano kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza ushirikiano kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) ili kuweza…

Read More