News and Events

Salaam za Pongezi zimeendelea kutolewa

SALAMU za pongezi zimeendelea kutolewa na Viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi kufuatia ushindi mkubwa wa Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi alioupata Rais Dk. Hussein…

Soma Zaidi
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma  akimuapisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli , katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma.

DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMEAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Dk. John Pombe Joseph Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili katika Awamu ya Tano ya uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kushinda…

Soma Zaidi

DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEMUAPISHA MWANASHERIA MKUU ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Dk. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Soma Zaidi

UTEUZI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua Bwana Suleiman Ahmed Salum kuwa Katibu wa Rais.

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitoa maelekezo kwa watendaji wa Shirika la Bandari wakati alipotembelea Ghala la kuhifadhia Mizigo Saateni.

DK. MWINYI AMETEMBELEA GHALA LA MIZIGO LA SHIRIKA LA BANDARI SAATENI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa Bandari pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kazi za kulitumia ghala jipya la…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali   Mwinyi akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Ali Haji Haji wakati alipofanya ziara ya hafla kutembelea bandari ya Malindi

DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMETEMBELEA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar pamoja na eneo la Maruhubi kwa ajili ya kutafuta muwarubaini wa ucheleweleshwaji…

Soma Zaidi

UTEUZI

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu Namba 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984,

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Haasan Mwinyi akiapa kuongoza Zanzibar kwa awamu ya 8 kuanzia 2020-2025.

SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS WA AWAMU YA NANE YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza Wazanzibari kote nchini kwa kujitokeza kwa wingi na kutumia vyema haki yao ya kikatiba ya kushiriki…

Soma Zaidi