Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali itatoa tamko kuifanya siku ya mwaka mpya wa kiislamu kuwa ya mapumziko
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali itatoa tamko kuifanya siku ya mwaka mpya wa kiislamu kuwa ya mapumziko.Alhaj D. Mwinyi…
Soma Zaidi