Ikulu Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amefungua nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili na kuelekea katika majengo ya Wafanyakazi pamoja na Madaktari wa Hospitali ya Kitogani kwa ajili ya Uzinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.leo tarehe 31 Disemba 2025.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Wananchi pamoja na Wafanyakazi wa Kada ya Afya wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa nyuma za Madaktari katika Hospitali ya Kitogani mkoa wa Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akipata maelezo ya Kitaalamu kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dr. Mngereza Miraji Mzee wakati alipokagua ndani ya nyumba hizo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akibonyesha kitufe kuashiria ufunguzi wa nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja
  • Muonekano wa Nyuma za makaazi kwa Madaktari wa Hospitali ya Kitogani Zanzibar.
  • Madaktari wa Hospitali ya Kitogani wakiwa katika Sherehe ya Uzinduzi wa nyumba za madaktari katika Hospitalini ya Kitogani Mkoa wa KUsini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza leo tarehe 31 Disemba 2025 alipofungua nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akitembea baada ya kuzikagua nyumba za Wafanyakazi pamoja na Madaktari wa Hospitali ya Kitogani baada ya kuzifungua nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza leo tarehe 31 Disemba 2025 alipofungua nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akibonyeza Kitufe kama ishara ya ufunguzi wa nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi vya SMZ na SMT wakiwa katika ufunguzi wa Nyumba za Madaktari pamoja na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya katika hospitali ya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameuzindua rasmi Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi,

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifuatana na Mkewe mama Mariyam Mwinye walipowasili katika uzinduzi wa mradi wa Nyumba za Makaazi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, pamoja na mama Mariyam Mwinyi wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa nyumba za makaazi katika Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimlisha keki Mkewe mama Mariyam Mwinyi baada ya kupokea zawadi ya keki kutoka kwa Waziri wa Fedha ikiwa ni ishara ya siku yake ya kuzaliwa wakati alipokwenda kuuzindua mradi wa Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akilisha keki na Mkewe mama Mariyam Mwinyi baada ya kupokea zawadi ya keki kutoka kwa Waziri wa Fedha ikiwa ni ishara ya siku yake ya kuzaliwa wakati alipokwenda kuuzindua mradi wa Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria uzinduzi wa Mradi wa ujenzi wa nyumba za makaazi kwa wananchi katika Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika eneo la uzinduzi wa mradi wa Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria uzinduzi wa Mradi wa ujenzi wa nyumba za makaazi kwa wananchi katika Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, pamoja na mkewe mama Mariyam Mwinyi wakiitikia duwa iliyosomwa na Shekhe kutoka Ofisi ya Mufti wa Zanzibar katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea zawadi ya keki kutoka kwa Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikiwa ni ishara ya siku yake ya kuzaliwa wakati alipokwenda kuuzindua Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria uzinduzi wa Mradi wa ujenzi wa nyumba za makaazi kwa wananchi katika Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi fungua za nyumba aliyonunua pamoja na cheti Bi Asia Mwadini wakati akizindua Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa Mradi wa ujenzi wa nyumba za makaazi kwa wananchi katika Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasikiliza watoto wanaomuimbi wimbo wa siku yake ya kuzaliwa wakati wa ufunguzi wa nyumba Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi fungua za nyumba aliyonunua pamoja na cheti Bi Suwaiba Nassor wakati akizindua Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi fungua za nyumba aliyonunua pamoja na cheti Bi Asia Mwadini wakati akizindua Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
  • Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Mariyam Mwinyi akisalimiana na msoma Utenzi Yussira wakati wa uzindua wa Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amelizindua baraza la Wawakilishi leo

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea salamu ya Heshima kutoka kwa Jeshi la Polisi wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi katika viwanja vya chukwani mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea salamu ya Heshima kutoka kwa Jeshi la Polisi wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi katika viwanja vya chukwani mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja baina ya Mheshimiwa Jaji mkuu wa Zanzibar Mheshimiwa Ramadhan Abdalla Shaaban pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zubeir Ali Maulid katika viwanja vya Baraza hilo leo tarehe 10 Octoba, 2025
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akilihutubia Baraza la Wawakilishi leo tarehe 10 Octoba, 2025 katika Ukumbi wa baraza hilo Chukwani Zanzibar.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Mama Mariyam Mwinyi akiwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kushiriki katika uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi baada ya kufanyika Uchaguzi wa Octoba 2025 na kupelekea kuundwa kwa Baraza jipya la Uwakilishi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akilihutubia Baraza jipya la Uwakilishi kufuatia kufanyika kwa uchaguzi mpya wa Octoba 2025 na kupatikaniwa kwa wajumbe wapya wa Baraza hilo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikagua Gwaride lililoandaliwa na Jeshi la Polisi Zanzibar kabla ya kulizindua Baraza jipya la Wawakishi leo Chukwani Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akilihutubia Baraza jipya la Uwakilishi kufuatia kufanyika kwa uchaguzi mpya wa Octoba 2025 na kupatikaniwa kwa wajumbe wapya wa Baraza hilo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi katika viwanja wa Baraza hilo hapo chukwani Zanzibar wakati Mheshimiwa rais alipokwenda kulizindua Baraza hilo leo tarehe 10 Octoba, 2025.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea salamu ya Heshima kutoka kwa Jeshi la Polisi wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi katika viwanja vya chukwani mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja baina ya Mheshimiwa Jaji mkuu wa Zanzibar Mheshimiwa Ramadhan Abdalla Shaaban pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zubeir Ali Maulid katika viwanja vya Baraza hilo leo tarehe 10 Octoba, 2025

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amechukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar.

  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa CCM katika kuitikia dua kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza ka Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume alipofika katika viwanja vya kaburi Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
  • VIJANA wa UVCCM wakishiriki katika zoezi la kumshindikiza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuchukua fomu ya Urais Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Cha Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Wananchi na kuwasalimia akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipita katika mitaa ya michezani akielekea Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akitokea Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
  • VIJANA Stronger With Mwinyi wakihasasisha wakati wa Mgombea wa Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kuchukuwa Fomu Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
  • MGOMBEA Urais wa Zanbzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji George Joseph Kazi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025.
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Cha Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Wananchi na kuwasalimia akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipita katika mitaa ya michezani akielekea Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akitokea Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha mkoba wake ukiwa na Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa fomu za kugombea Urais leo 30-8-2025 katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Maisara Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa
  • MGOMBEA Urais wa Zanbzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji George Joseph Kazi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
  • Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina akizungumza na kutowa maelezo wakati wa zoezi la kukabidhi Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar, kwa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025 kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa CCM Zanzibar
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025 kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa.
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa CCM Zanzibar
  • VIJANA wa UVCCM wakishiriki katika zoezi la kumshindikiza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuchukua fomu ya Urais Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
  • VIJANA Stronger With Mwinyi wakihasasisha wakati wa Mgombea wa Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kuchukuwa Fomu Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
  • VIJANA madereva wa Bodaboda Zanzibar wakishiriki katika zoezi la kumshindikiza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025.

Rais wa Zanzbar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & Spa Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wafanyakazi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja leo 16-8-2025 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hamida Mussa Khamis na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi.Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar , kwa ajili ya ufunguzi wa hoteli hiyo iliyoko katika Mkoa wa Kusini Unguja katika Kikjiji cha Kikungwi, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025

  • VIJANA wa Kikundi cha uhamasishaji wakishangilia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati wa ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, baada ya kuifungua leo 16-8-2025, iliyoko katika kijiji cha kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, baada ya kuifungua leo 16-8-2025, iliyoko katika kijiji cha kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Hoteli ya Kitali ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Hoteli ya Kitali ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025.