Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amefungua nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili na kuelekea katika majengo ya Wafanyakazi pamoja na Madaktari wa Hospitali ya Kitogani kwa ajili ya Uzinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.leo tarehe 31 Disemba 2025.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja.
Wananchi pamoja na Wafanyakazi wa Kada ya Afya wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa nyuma za Madaktari katika Hospitali ya Kitogani mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akipata maelezo ya Kitaalamu kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dr. Mngereza Miraji Mzee wakati alipokagua ndani ya nyumba hizo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akibonyesha kitufe kuashiria ufunguzi wa nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja
Muonekano wa Nyuma za makaazi kwa Madaktari wa Hospitali ya Kitogani Zanzibar.
Madaktari wa Hospitali ya Kitogani wakiwa katika Sherehe ya Uzinduzi wa nyumba za madaktari katika Hospitalini ya Kitogani Mkoa wa KUsini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza leo tarehe 31 Disemba 2025 alipofungua nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akitembea baada ya kuzikagua nyumba za Wafanyakazi pamoja na Madaktari wa Hospitali ya Kitogani baada ya kuzifungua nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza leo tarehe 31 Disemba 2025 alipofungua nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akibonyeza Kitufe kama ishara ya ufunguzi wa nyumba za makaazi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Kitogani, Mkoa wa Kusini Unguja._770_513shar-50brig-20.jpeg)
Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi vya SMZ na SMT wakiwa katika ufunguzi wa Nyumba za Madaktari pamoja na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya katika hospitali ya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja.