State House Blog

uKARABATI WA UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitoa maelekezo wakati alipokagua Maendeleo ya Ukarabati wa Ujenzi wa uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar unaojengwa na Kampuni ya ORKUN Limited kutoka Nchini Uturuki (wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (kushoto) Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita
 • Picha zinazoonesha sehemu za Uwanja wa Amaan ambapo ukiwa katika hatua za mwisho kukamili kwa ujenzi wake unaofanywa na Kampuni ya ORKUN kutoka nchini Uturuki
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Limited kutoka Nchini Uturuki Bw.Ilhan Karadeniz wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea Maendeleo ya Ukarabati wa Ujenzi wa uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipiga Mpira wakati alipotembelea Maendeleo ya Ukarabati wa Ujenzi wa uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar unaojengwa na Kampuni ya ORKUN Limited kutoka Nchini Uturuki
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitia saini katika mpira wakati alipokagua Maendeleo ya Ukarabati wa Ujenzi wa uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar unaojengwa na Kampuni ya ORKUN Limited kutoka Nchini Uturuki (kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Limited Bw. Ilhan Karadeniz na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa
 • Picha zinazoonesha sehemu za Uwanja wa Amaan ambapo ukiwa katika hatua za mwisho kukamili kwa ujenzi wake unaofanywa na Kampuni ya ORKUN kutoka nchini Uturuki
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ORKUN Limited kutoka Nchini Uturuki Bw.Ilhan Karadeniz wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea Maendeleo ya Ukarabati wa Ujenzi wa uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar

UJUMBE WA MAKAMU MWENYEKITI MTENDAJI WA SHIRIKISHO LA VIWANDA NA BIASHARA KUTOKA CHINA

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China Bw.Xu Lejiang wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China Bw.Xu Lejiang wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na ujumbe wa Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na ujumbe wa Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na ujumbe wa Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China Bw.Xu Leijiang (wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameipongeza Timu ya Karume Boys na kujumuika na Wachezaji katika Dhifa Maalum aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa Dhifa Maalum ya chakula maalum alichowaandaliwa Wachezaji wa Timu ya Karume Boys U-15 kwa ushindi wa Ubingwa wa Kombe la CECAFA U-15 kwa kuifunga Timu ya Taifa ya Uganda u-15 katika mchezo wa Fainali uliofanyika Nchini Uganda wiki iliyopita, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-11-2023

 • WACHEZAJI wa Timu ya Karume Boys U-15 wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwapongeza kwa kuchukua Ubingwa wa Kombe la CECAFA U-15, katika mchezo wa fainali na Timu ya Uganda uliyofanyika Nchini Uganda wiki iliyopita, wakati wa dhifa maalum ya chakula na kuwapongeza iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-11-2023
 • BAADHI ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wadau wa michezo Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwapongeza Wachezaji wa Timu ya Karume Boys U-15 kwa Ushindi wa Ubingwa wa Kombe la CECAFA U-15 kwa kuifunga Timu ya Uganda katika mchezo wa Fainali ya Michuano ya CECAFA U-15 Iiliyofanyika Nchini Uganda wiki iliyopita
 • Karume Boys Mabingwa wa Kombe la CECAFA U-15 kwa mwaka 2023-2024 wakiwa na Kombe lao la Ubingwa na Viongozi wa ZFF (kushoto ) Rais wa ZFF Suleiman Mahamoud Jabir wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja hivyo kwa ajili ya kujumuika na Wachezaji katika chakula maalum alichowaandalia leo 20-11-2023
 • VIONGOZI wa Serikali wakiwa katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakihudhuria dhifa maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa ajili ya kuwapongeza Wachezaji wa Timu ya Karume Boys U-15 iliyotowa Ubingwa wa CECAFA U-15 katika mchezo wa Fainali na Timu ya Taifa ya Uganda U-15 uliofanyika wiki iliyopita Nchini Uganda kwa ushindi wa bao 4-3

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Galos Nyimbo kuwa Mkuu wa Wilaya Kusini Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar, k

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Galos Nyimbo kuwa Mkuu wa Wilaya Kusini Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar, kabla alikuwa Mwanajeshi Mstaafu

Dk.Mwinyi amewapishwa Viongozi aliowateuwa hivi karibuni

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Galos Nyimbo kuwa Mkuu wa Wilaya Kusini Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar, kabla alikuwa Mwanajeshi Mstaafu
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akizungumza na Viongozi aliowateuwa hivi karibuni baada ya Kuwaapisha rasmi kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya za Unguja,pamoja na Viongozi waliohudhuria katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akizungumza na Viongozi aliowateuwa hivi karibuni baada ya Kuwaapisha rasmi kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya za Unguja,pamoja na Viongozi waliohudhuria katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 • Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamal Kassim Ali wakiwa katika hafla ya kuapishwa Viongozi aliowateuwa hivi karibuni Iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Kaskazini Unguja hafla iliyofanyika Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Sadifa Juma Khamis kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Kaskazini "A"Unguja
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Othman Ali Maulid kuwa Mkuu wa Wilaya Kaskazini "A" Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.
 • Ndg.Galos Cassian Nyimbo na Ndg. Othman Ali Maulid wakipitia hati za viapo kabla ya kuapishwa kuwa Wakuu wa Wilaya walizopangiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja
 • Mwanasheria Mkuu Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji,Jaji wa Mahkama Kuu Mhe.Mohamed Ali Mohamed na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa wakiwa katika hafla ya kuapishwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya walioteuliwa hivi karibuni, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar