State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA MABASI KIJANGWANI ,IKIWA NI SHAMRASHAMRA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, na (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika leo 31-12-2023 katika viwanja vya Mradi huo kijangwani
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandishi wa Kampuni ya M+M Architects Co.Ltd Ismail Burhani Mvungi, akitowa maelezo ya michoro ya majengo ya Kituo cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi huo leo 31-12-2023,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mwendeshaji wa (ZSSF) Ndg. Nassor Shaban
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Mabasi Kijanwani Wilaya ya Mjini Unguja leo 31-12-2023 na (kushoto kwake) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandishi wa Kampuni ya M+M Architects Co.Ltd Ismail Burhani Mvungi, akitowa maelezo ya michoro ya majengo ya Kituo cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi huo leo 31-12-2023,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mwendeshaji wa (ZSSF) Ndg. Nassor Shaban
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, na (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika leo 31-12-2023 katika viwanja vya Mradi huo kijangwani

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Viwanja vya Michezo vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua Viwanja vya michezo vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 30-12-2023, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua Viwanja vya michezo vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 30-12-2023, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • VIJANA wa Sarakasi wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar wakionesha umahiri wa mchezo huo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika 30-12-2023, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • WAGENI waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa viwanja vya michezo vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua uwanja huo 30-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • WAFANYAKAZI wa Mfuko wa Hifadh ya Jamii Zanzibar (ZSSF) wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua uwanja huo 30-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipuriza kifirimbi kuazisha mchezo wa kirafiki wa Ufunguzi wa Viwanja vya Michezo vya Matumbaku Spotrs Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kati ya Timu ya Karume Boys U-15 na Timu ya ZSSF,mchezo uliofanyika baada ya kufunguliwa kwa Uwanja huo leo 30-12-2023, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Ndg.Nassor Shaban,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Ali Suleiman Ameir (Mrembo) wakifuatili mchezo huo wa ufunguzi.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Viwanja vya Michezo vya Matumbaku Sports Complex Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum (kushoto) na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 30-12-2023

Ufunguzi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Complex

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi mfano wa Funguo Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita katika hafla ya ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) Ndg,Nassor Shaaban Ameir (kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi kikombe Nahodha wa Timu ya Karume Boys Ashraf Ali Othman, baada ya ushindi na Timu ya ZSSF katika mchezo wa Ufunguzi wa Vyanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) Ndg,Nassor Shaaban Ameir
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Karume Boys baada ya ushindi wa bao 1-0 na Timu ya ZSSF katika mchezo wa Ufunguzi wa Vyanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 • Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt .Juma Akili Malik,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Mohamed (Dimwa),Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) Ndg,Nassor Shaaban Ameir
 • Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipuliza filimbi kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Kiwanja cha Mipira cha Matumbaku wakati wa Ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum, (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) Ndg,Nassor Shaaban Ameir
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum wakifungua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Viwanja vya Matumbaku Sports Komplex Miembeni leo ,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi katika maadhimisho ya shamra shamra za miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

MAHFALI YA 19 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA).

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea Tunzo ya Heshima,kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa ,kwa kutambua mchango wake mkubwa akiwa Mkuu wa Chuo wa kwanza kuanzisha Mkusanyiko wa Kitaalam "CONVOCATION"wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea Tunzo ya Heshima,kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa ,kwa kutambua mchango wake mkubwa akiwa Mkuu wa Chuo wa kwanza kuanzisha Mkusanyiko wa Kitaalam "CONVOCATION"wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Tunzo ya Heshima Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume(katikati) akiwa miongoni mwa waanzilishi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Tunzo ya Heshima Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman akiwa miongoni mwa waanzilishi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa na (kushoto) Makamo Mkuu wa Chuo Prof.Makame Haji
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Tunzo ya Heshima Ndg.Amour Salmin (katikati)kwa niaba ya Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Salmin Amour akiwa miongoni mwa waanzilishi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Leila Mohamed Mussa
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariuam Mwinyi,Makamo Mkuu wa Chuo Prof.Makame Haji,Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Bi.Hamida Ahmed Mohamed na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe Leila Mohamed Mussa wakiwa katika maandamano katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
 • Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
 • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan (kulia) akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) kabla ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Utalii na Msoko ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimtunuku Shahada ya Heshima ya Utalii na Msoko ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.
 • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariuam Mwinyi leo alipoiwasili katika Ofisi za Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
 • Wahitmu wa Shahada ya Uuguzi na Ukunga ya chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) walipotunukiwa Shahada zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimtunuku Shahada ya Heshima ya Utalii na Msoko ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa wahitimu katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
 • Wahitmu wa Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Teknolojia ya Habari walipotunukiwa Shahada zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja
 • Wahitmu wa fani mbali mbali wakiwa sherehe ya katika Mahfali ya 19 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AHUTUBIA NA KUUFUNGUA UWANJA WA MAAN ZANZIBAR IKIWA NI SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Uwanja wa Amaan Zanzibar, baada ya kukamilika ujenzi wake, ufunguzi huo uliofanyika leo 27-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Uwanja wa Amaan Zanzibar, baada ya kukamilika ujenzi wake, ufunguzi huo uliofanyika 27-12-2023 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.