Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezindua Mpango Mkakati wa ZMBF na Mradi wa Tumaini KIT
MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizundua Mradi wa Tumaini Kit, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo,20-3-2023 na (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia uzinduzi huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi TUZO maalum na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakati wa Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa ZMBF na Uzinduzi wa Mradi wa Tumaini Kit, katika Mkutano wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya (ZMBF) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 20-3-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungua Mpango Mkakati wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZBMF) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023, (kulia) Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maria Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisin ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed.
MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizundua Mradi wa Tumaini Kit, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo,20-3-2023 na (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia uzinduzi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu cha Mpango Mkakati wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) baada ya kuizindua leo 20-3-2023. Katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magaribi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe.Masoud Ali Mohammed na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.
BAADHI ya Mabalozi Wadogo wanaofanyia kazi zao Zanzibar, wakifuatulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023
WAGENI Waalikwa na Viongozi wa Vikundi vya Wajasiriamali Wanawake Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi wa Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023.
MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi yake na Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa (ZMBF) na Uzinduzi wa Mradi wa Tumaini Kit, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023.
BAADHI ya Wake wa Viongozi Wakuu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi Mpango Mkakati wa (ZMBF) na Mradi wa Tumaini Kit, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023.
BAADHI ya Wake wa Viongozi Wakuu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi Mpango Mkakati wa (ZMBF) na Mradi wa Tumaini Kit, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi ambae ni Mwenyetiki wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana, wakimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha Wanawake cha Zainat cha Chukwani.Bi.Farida Juma Suleiman, wakati akitembelea maonesho ya Wajasiriamali mbalimbali wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit pamoja na kuadhimisha Mwaka Mmoka wa Taasisi ya (ZMBF) Iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 20-3-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali cha Ukweli Njia Safi cha Bwelo. Bi. Zainab Hassan, wanaotengeneza Bidhaa za Mwani, wakati akitembelea maonesho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023, kabla ya kuzindua wa Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit na Mkutano wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Zanzibar Maisha Bora Foundation. (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
WAGENI Waalikwa na Viongozi wa Vikundi vya Wajasiriamali Wanawake Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) na Uzinduzi wa Mpango Mkakati na Mradi wa Tumaini Kit, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameongoza Mkutano wa jukwaa la Kumi na mbili la Biashara Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa (SMIDA) Bw. Soud Said Ali, akitembelea maonesho ya Wafanyabiashara katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 19-3-2023, wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Jijini Zanzibar,(kushoto kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 19-3-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 19-3-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban
WAJUMBE wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja 19-3-2023 Jijini Zanzibar.
WAJUMBE wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 19-3-2023 Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Plastic Technology Enterprises Bw. Multala S.Juma, wakati akitembelea maonesho ya Wafanyabiashara Zanzibar, kabla ya kuongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B"Unguja leo 19-3-2023.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban, akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) baada ya uzinduzi huo uliofanyika leo 15-3-2023 Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubia Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais ) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, uzinduzi huo uliyofanyika 15-3-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Kuzinduzi wa Maabara 4 Mpya za Kisasa za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Bw. Yussuf Nassor Majid, uzinduzi huo uliyofanyika 15-3-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubia Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais ) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, uzinduzi huo uliyofanyika 15-3-2023
MUONEKANO wa Jengo Jipya la Maabara la Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) lililoko katika maeneo la Maruhubi Wilaya ya Mjini Ugunja Jijini Zanzibar.
Balozi wa Morroco Nchini Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZINDUA MUONGOZO WA UWEKEZAJI ZANZIBAR NA MFUMO WA KIELETRONIKI WA (ZIPA ZANZIBAR
WAGENI waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA), wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar.Mhe. Mudrik Ramadhan Songa , wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) na Siku ya Uwekezaji Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023 Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais. Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga na Mkurugenzi Mtendaji wa (ZIPA) Bw. Shariff Ali Shariff, baada ya kuzindua Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) na Siku ya Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023.
BAADHI ya Mawaziri na Wageni Waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA ) sambamba na maadhimisho ya Siku ya Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023
WAGENI waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA), wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023
BAADHI ya Mawaziri na Wageni Waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA ) sambamba na maadhimisho ya Siku ya Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti cha Shukurani Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga (katikati) katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki (wa pili kulia) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia)Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia katibu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, (kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti cha Shukurani Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia) katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki (kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga, katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamakileo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamakileo
Wadau mbali mbali katika sekta ya Utalii wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki.
Pichani ni Baadhi ya Wataalam wa mfumo wa Kielektroniki wa Zipa wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki