Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Ibada ya Swala
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiagana na Viongozi wakati kumalizika kwa sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa nasaha zake na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi 17/02/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi 17/02/2023.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa kitoa nasaha zake na kusalimia baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi 17/02/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi 17/02/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi 17/02/2023
Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa, India ( IITM).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Msaidizi Balozi wa India Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma, baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan,mara baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa, alipokuwa akiutambulisha Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan,mara baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India,ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (wa nne kushoto) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (wa nne kushoto) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) leo amefanya mazungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (kulia kwa Rais) ujumbe huo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Msaidizi Balozi wa India, Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma, katika Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) kutoka India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimsikiliza Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan, alipokuwa akitoa salamu za ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM)ya India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo.
Dk. Hussein Mwinyi amezungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa, India (IITM).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Msaidizi Balozi wa India Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma, baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (wa nne kushoto) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) leo amefanya mazungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (kulia kwa Rais) ujumbe huo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (wa nne kushoto) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan,mara baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan,mara baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Msaidizi Balozi wa India, Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma, katika Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) kutoka India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimsikiliza Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan, alipokuwa akitoa salamu za ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM)ya India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa,alipokuwa akiutambulisha Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Charlota Ozaki Macias,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Charlota Ozaki Macias(kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias(kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mneni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13-2-2023
Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar Tunguu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kutoka kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Mgeni Hassan Juma na Waziri Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,pia Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Hamza Hassan Juma
Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Tunzo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kushoto) katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akionesha kitabu cha Mahkama mara baada ya kukizindua leo katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe. Prof.Ibrahim Khamis Juma (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe.Prof.Ibrahim Khamis Juma alipokuwa akitoa salamu zake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hypo pichani) alikuwa Mgeni rasmi kaaika hafla hiyo
Baadhi ya Viongozi na Wananchi mali mali walioalikwa katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Khamis Juma wakifuatana pamoja na Majaji Wakuu wa Mahkama kuu Zanzibar wakiingia katika uwanja wa sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika Leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid (kulia)wakati alipowasili katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu,Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja