Ikulu Blog

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amekutana na Uongozi wa UVUCCM Taifa.

  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi (kulia) akimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi,(wa pili kulia) alipokuwa akitoa shukurani baada ya mazungumza na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi(katikati) alipokuwa aki zungumza na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar wakiongozwa na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar wakiongozwa na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi (kulia) akizungumza na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar wakiongozwa na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi,(wa pili kulia)
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar wakiongozwa na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi (hawapo pichani)

Ufunguzi wa Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu Zanzibar (UAE).

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan, baada ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar (katikati) Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan (kushoto) wakifungua pazia kama ishara ya Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakifurahia Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan, wakifuatana na baada ya mazungumzo mafupi katika hafla ya Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar (kushoto) Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa vitabu vya aina mbalimbali na Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania. Dkt.Godwin Lekundayo, baada ya kumaliza mazungumzo yao walipofika kwa ajili ya kujitambulisha 20-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa hilo,kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa la Sabato Tanzania, ukiongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo (kulia kwa Rais) wakiwa katika mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar 20-2-2023, kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa la Sabato Tanzania, ukiongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo (kulia kwa Rais) wakiwa katika mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar 20-2-2023, kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Askofi Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 20-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Askofi Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 20-2-2023

Uzinduzi wa Maduka ya darajani

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia mchele wa Mbeya wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika Marikiti Kuu ya Darajani Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-2-2023,na kuzungumza na Mfayabishara wa Bidhaa za Vyakula katika marikiti hiyo Bw.Seif Khamis Ali na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akilipia Nyama ya Ng’ombe baada ya kuinunua kwa Bw.Ali Hashim mmoja wa Wafanyabiashara katika Marikiti Kuu Darajani Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa ziara yake ya kushtukiza aliyoifanya leo 18-2-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Mfanyabishara wa Nyama ya Ng’ombe katika Soko la Marikiti Kuu Darajani Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-2-2023, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika Marikiti hiyo kuangalia hali ya bidhaa ya vyakula
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mfanyabiashara wa bidhaa za vyakula katika Marikiti Kuu Darajani Wilaya ya Mjini Unguja.Bw.Seif Khamis Ali, alipofanya ziara ya kustukiza leo 18-2-2023 na katika marikiti kuu darajani na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kusalimiana na Watalii wakitembelea Marikiti Kuu ya Darajani Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa ziara yake ya kushtukiza kutembelea Wafanyabishara ya vyakula katika Marikiti Kuu Darajani Unguja leo 18-2-2023

Rais wa Zanzibar Alhaj.Dk.Hussein Mwinyi ameshiriki katika Maziko ya Marehemu Mwema Omar Jongo 18-2-2023.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kutoa mkono wa pole kwa familia ya Marehemu Bi. Mwema Omar Jongo,Sheikh. Thabit Noman Jongo na Yussuf Khamis Jongo, alipowasili katika viwanja vya Masikiti wa Kwa Mohammed Ali Kibanda hatari Wilaya ya Mjini Unguja, kwa ajili ya kujumuika katika dua na Sala ya kumuombea marehemu 18-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisiriki katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Marehemu.Bi.Mwema Omar Jongo, kilichofanyika katika Msikiti wa Kwa Mohammed Ali Kibanda hatari Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-2-2023,(kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Sheikh Thabit Noman Jongo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua na familia ya Marehemu Mwema Omar Jongo, ikisomwa na Sheikh.Thabit Noman Jongo (kushoto kwa Rais) alipofika nyumbani kwa marehemu Kwahani Mchanga mwingi,Wilaya ya Mjini Unguja kutowa mkono wa pole kwa familia leo 18-2-2023 ,na (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Mwema Omar Jongo, baada ya kumalizika Sala ya Maiti ikisomwa na Sheikh Thabit Noman Jongo, iliyofanyika katika Msikiti wa Kwa Mohammed Ali Kibanda Hatari Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Mwema Omar Jongo, ikisomwa na Katibu Mtendaji wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa maziko ya Marehemu Mwema Omar Jongo, yaliyofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 18-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Mwema Omar Jongo, wakati wa maziko yake yaliyofanyika katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 18-2-2023, na (kulia kwa Rais)Sheikh Thabit Noman Jongo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Mwema Omar Jongo, alipofika nyumbani kwa marehemu kwahani mchanga mwingi Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-2-2023, na (kushoto kwa Rais) Sheikh. Thabit Noman Jongo na (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume