Ikulu Blog

Matembezi maalum ya UVCCM kuelekea kilele cha Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  (wa pili kushoto) akimkabidhi Bendera Kiongozi wa Matembezi, Mwenyekiti Mstaafu wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndg.Pandu Salum Sungura, katika uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge, Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,(wa pili kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida) na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg,Rehema Sombi Omar (kushoto) 05/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Vijana wa UVCCM wakibeba Picha za Viongozi wakuu wa Kitaifa,Picha Baba wa Taifa,Mzee Karume,Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na Bendera wakati  wa Matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo 05/01/2023.
  • Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar 05/01/2023.
  • Baadhi ya Viongozi wa Chama cha mapinduzi wakiwa katika uzinduzi wa  matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) 05/01/2023.
  • Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM wakinyoosha mikono juu kuunga kushangilia na kumkubali Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar 05/01/2023
  • Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida)alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Vijana wa Uvccm Zanzibar na kuzindua matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar yaliyoanzia viwanja vya Mnaranwa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi 05/01/2023.
  • Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar 05/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipozungumza na Vijana wa Uvccm Zanzibar na kuzindua matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar 05/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipotoa hutuba ya uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,ambapo watatembea kwa siku tano katika Wilaya za Zanzibar (wapili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mlezi wa UVCCM Mama Mariam Mwinyi, (kulia) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida) 05/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Bendera Msaidizi wa matembezi Merry Daniel Joseph kutoka Mkoa wa Mara katika uzinduzi wa matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Ndg.Mohamed Ali (Kawaida) 05/01/2023.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amefungua michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa Mchezo wa Netiboli Viwanja vya Gymkhana Unguja.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akipokea maandamano ya Wanamichezo wa mchezo wa Netiboli katika Ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi uliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 04-01-2023, (kushoto kwake) Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar B.Fatma Hamad Rajab na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma.
  • BAADHI ya Wanamichezo wa Timu mbalimbali za Netiboli Unguja wakishiriki katika maandamano ya ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi yanayofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja 04-01-2023
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akirusha mpira golini kuashiria kuyafungua Mashindano ya Kombe la Mapinduzi katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja 04-01-2023, katika mchezo wa ufunguzi   ulizikutanisha Timu za KVZ na Zimamoto na  Timu ya KVZ imeibuka na ushindi wa bao 42-41.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Zimamoto wakati wa ufunguzi wa Michuano ya Netiboli Kombe Mapinduzi   uliyofanyika  katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja 04-01-2023.
  • MCHEZAJI wa Timu ya Zimamoto Pendo Adrian Mpela  akiwa na mpira wakati wa mchezo wao wa Ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi  na Timu ya KVZ,uliofanyika katika uwanja wa Gmykhana, Timu ya KVZ imeshinda mchezo huo kwa bao 44 -41
  • BAADHI ya Wanamichezo wa Timu mbalimbali za Netiboli Unguja wakishiriki katika maandamano ya ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi yanayofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja 04-01-2023
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mchezo wa Netiboli uliyofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 04-01-2023

Utiaji sani makubaliano ya Ujenzi wa uwanja wa Ndege wa Pemba.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wananchi na Viongozi katika hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba,baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania, iliyofanyika katika ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia  Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba,baina ya Katibu Mkuu  Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Bi.Fatma Khamis Rajab (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Nchini Brazil Leandro Motta (kushoto) hafla   iliyofanyika katika ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akitoa hutuba yake katika hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania, iliyofanyika ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wananchi na Viongozi katika hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania, iliyofanyika ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisimama pamoja na Viongozi mbali mbali wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania, iliyofanyika katika ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Mwansheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji(kushoto) akiwa na Mawaziri wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi wengine wakiwa katika  hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania,  iliyofanyika leo ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar    mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakishuhudia hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania  iliyofanyika ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar,katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba,baina ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Bi.Fatma Khamis Rajab (kulia) na Mkurugenzi Kampuni ya Mecco Tanzania Ndg.Nasser Abdulkadir  Sheikh katika hafla  iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ni mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amegawa vifaa vya uvuvi Micheweni.

  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" (wa pili kushoto)akimkabidhi Boti, mashine,Kamba pamoja na vifaa mbali mbali Katibu wa kikundi cha IPO Sababu -Tumbe Bi.Kaije Said Bakari na Bikombo Rashid Ali (kulia) wakati wa hafla ya ugawaji wa Vifaa mbali mbali vya kilimo cha mwani kwa vikundi vya Wilaya ya Michweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi amegawa vifaa vya uvuvi.

  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Mkoba wenye mabuku,viatu pamoja sare za skuli Mtoto Haitham Marouk Fakih katika hafla ya kugawa vifaa vya watoto mayatima wa Wilaya za Chake chake na Micheweni Mikoa wa Pemba,hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Makonyo  katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 01/01/2023
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Mkoba wenye mabuku,viatu pamoja sare za skuli Mtoto Ismail Suleiman Ali Chake chake katika hafla ya kugawa vifaa vya watoto mayatima wa Wilaya za Chake chake na Micheweni Mikoa wa Pemba ,hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Makonyo  katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 01/01/2023.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akizungumza na Viongozi na vikundi vya Ukulima wa mwani vya Wilaya ya  Mkoani katika hafla ya kugawa vifaa vya Uvuvi wa Mwani kwa vikundi katika  Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Umoja Ni Nguvu Mkoani Pemba  katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 01/01/2023.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akimkabidhi Fimbo (White cane) Bi.Habiba Nassib Makame Gongomawe wa Wilaya ya Chake chake mwenye tatizo la kutoona katika hafla ya kugawa vifaa mbali mbali vikiwemo viti vya magurudumu,Fimbo (White cane) kwa watu wasioona,Magodoro na Fomu za Skuli pamoja na mikoba kwa watoto mayatima Wilaya za Chake chake  na Micheweni Mikoa wa Pemba, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Makonyo  katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 01/01/2023
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akimkabidhi Fimbo (White cane) Mtoto Habibu Abdalla wa Chokocho Wilaya Micheweni mwenye tatizo la kutoona mwenye uhitaji maalum  katika hafla ya kugawa vifaa mbali mbali vikiwemo viti vya magurudumu,Fimbo (White cane) kwa watu wasioona,Magodoro na Fomu za Skuli pamoja na mikoba kwa watoto mayatima Wilaya za Chake chake  na Micheweni Mikoa wa Pemba ,hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Makonyo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 01/01/2023.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Ukumbi wa Umoja Ni Nguvu Mkoani Pemba jana kwa jili ya Kugawa vifaa vya Uvuvi kwa vikundi wa ukulima wa Mwani,katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar,01/01/2023.