Ikulu Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Watendaji Wakuu wa Mabenki ya Tanzania

  • WATENDAJI Wakuu wa Mabenki ya Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-2-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar na Watendaji Wakuu wa Mabenki ya Tanzania, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-2-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar na Watendaji Wakuu wa Mabenki ya Tanzania, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-2-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum

Rais wa Zanzibar Mhe Hussein Mwinyi amewatembelea Wazee mbalimbali kwa ajili ya kuwajulia hali zao.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Watoto wa Mtaa wa Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja leo 23-2-2024, baada ya kumaliza kumzungumza na Mzee Ramadhan Nzori
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Msanii Maarufu wa Zanzibar Bi.Mwapombe Hiyari, alipofika nyumbani kwake Chuini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 23-2-2024, ikiwa ni utaratibu wake kuwajulia hali Wazee mbalimbali Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Familia ya Mzee Daudi Suleiman Ali, alipofika nyumbani kwake Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya kumsalimia na kumjulia hali yake leo 23-2-2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Mzee Ramadhan Nzori , aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Jangombe Zanzibar, alipofika nyumbani kwake Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya mazungumzo na kumjulia hali yake leo 23-2-2024

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Aamejumuika na Wananchi Katika Ibada ya Sala ya Ijumaa Masjid Mubarak Kihinani Bububu Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mubarak Bububu Kihinani na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mubarak Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 23-2-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Mubarak Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya kujumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 23-2-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mubarak Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 23-2-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mubarak Bububu Kihinani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 23-2-2024

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amemuapisha Mhe.Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Mhe. Shariff Ali Shariff, baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Mhe. Shariff Ali Shariff baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said

Rais wa Zanzibar amefungua Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii The Z Summit 2024 uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024”, uliyofanyika leo 21-2-2024 katika ukumbi wa hoteli hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuyafungua Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Utalii yanayofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, kabla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” uliyofanyika leo 21-2-2024, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa “The Z Summit” ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ndg. Rahim Bhaloo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” baada ya kuyafungua maonesho hayo yanayofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024 , akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Neela Boutique Hotel Ndg. Steve Nhigula
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Kikundi cha “World Vegetable Center “ cha Tunguu Zanzibar Bi.Amina Adam Makame, wakati akitembelea maonesho ya Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” baada ya kuyafungua katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024
  • MWENYEKITI wa Kamati ya “The Z Summit 2024” ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ndg. Rahim Bhaloo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024, na uliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwiny
  • WADAU wa Sekta ya Utalii wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiuliza swali kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni Nyerere Tented Camp Bi. Anita Daigle wakati akitembelea Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” baada ya kuyafungua katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar ,na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa “The Z Summit” ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ndg. Rahim Bhaloo na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.
  • BAADHI ya Mabalozi Wadogo na Wageni Waalikwa na Wadau wa Sekta ya Utalii, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Wadau wa Sekta ya Utalii “The Z Summit 2024” unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 21-2-2024
  • Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mwinyi akikabiziwa zawadi ya picha ya Kisiwa cha Zanzibarmara baada ya kuufungua mkutano wa pili wa Kimataifa wa sekta ya utalii na Maonesho "The Z Summit 2024" katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, uwanja wa ndege Zanzibar tarehe:
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Mheshimiwa Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habar mara baada ya kufungua Mkutano wa pili wa Kimataifa wa sekta ya utalii na Maonesho "The Z Summit 2024" katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, uwanja wa ndege Zanzibar.