Habari

Rais Mwinyi amesema udhalilishaji ni Janga la Kidunia linalohitaji nguvu ya Pamoja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa vitendo vya udhalilishaji ni janga la kidunia linalohitaji ushirikiano wa wadau wote ili kuhakikisha…

Soma Zaidi

Mama Mariam Mwinyi amesema Mapambano ya Ukatili wa Kijinsia Unaofanyika Mitandaoni Unahitaji nguvu ya pamoja na Ushirikiano wa Wadau ili kuutokomeza

Mke wa Rais wa Zanzibar ambaye Pia Mwenyekiti na Msarifu wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amesema Mapambano ya Ukatili wa Kijinsia Unaofanyika Mitandaoni Unahitaji…

Soma Zaidi

Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Dua Maalum ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu pamoja na kuliombea Taifa Amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Dua Maalum ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu pamoja na kuliombea…

Soma Zaidi

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuongeza bajeti ya sekta ya elimu kutoka shilingi bilioni 864 hadi kufikia shilingi trilioni 1, ili kuimarisha ubora wa elimu nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuongeza bajeti ya sekta ya elimu kutoka shilingi bilioni 864 hadi kufikia…

Soma Zaidi