Rais Mwinyi amezindua Chuo Cha Ualimu Nkrumah
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali itaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha maslahi ya walimu ili kuwaongezea…
Soma Zaidi