Media

Dk.Shein amesisitiza Ujenzi wa Hospitali mpya ya Binguni uko pale pale

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesisitiza kwamba uwamuzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wa mradi wa Ujenzi wa Hospitali mpya ya Binguni uko…

Read More

Dk.Shein amewataka Vijana kutojiingiza katika vitendo vinavyoweza kuvunja amani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka baadhi ya watu wakiwemo vijana kutojiingiza katika vitendo vinavyoweza kuvunja amani na utulivu nchini kwa…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa ameshika mfuko ukiwa na Unga wa Shelisheli, wakati akitembelea banda la maonesho la Jumuiya ya Usarivu Mazao Zanzibar katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni

DK. SHEIN AMEFUNGUA MAONESHO YA KILIMO YA NANENANE VIWANJA VYA CHAMANANGWE PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kuweka kipaumbele katika kufanya tafiti zinazohusiana na sekta…

Read More

Dk.Shein ameitaka Wizara ya Kilimo kufanya Tafiti zinazohusiana na Wizara hiyo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kuweka kipaumbele katika kufanya tafiti zinazohusiana na sekta…

Read More

Dk. Shein amewataka Wananchi waendelee kushirikiana

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi waendelee kushirikiana ili wahakikishe kwamba uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka…

Read More

Viongozi wa ndani na nje ya nchi wameungana pamoja kuuaga mwili wa Rais Mstaa Benjamin William Mkapa

VIONGOZI wa ndani na nje ya nchi wakishuhudiwa na maelfu ya Watanzania wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli waliungana pamoja kuuaga kitaifa mwili…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma risala ya rambirambi kufuatia kifo cha Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

DK.SHEIN AMETOA SALAMU ZA POLE KWA KIFO CHA BENJAMIN WILLIAM MKAPA.

KIFO cha Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bejamin William Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo ya Tanzania, Afrika na duniani kote kwa…

Read More