Habari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini kitabu cha maombolezi ya Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu  wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu.Benjamin William Mkapa, alipofika nyumbani kwake Mtaa wa Masaki J

DK. SHEIN AMETOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU WA SMT.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ametoa mkono wa pole kwa familia ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bejamin William…

Soma Zaidi

SALAMU ZA RAMBIRAMBI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli kufuatia kifo…

Soma Zaidi

UTEUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia kura katika sanduku la kura wakati kupiga kura ya maoni kuchagua wajumbe wa Uwakilishi,Ubunge katika mkutano wa Jimbo la Tunguu

MKUTANO WA KURA YA MAONI JIMBO LA TUNGUU.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye pia ni Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo alikuwa ni miongoni mwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu waliopiga Kura…

Soma Zaidi
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wanachama wa CCM Kisiwaniu Pemba wakati wa mkutano wa mapokezi na kumtambulisha Mgombea wa Urais wa Zanzibar

MAPOKEZI YA MGOMBEA WA URAIS WA ZANZIBAR KISIWANI PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ambaye pia, Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ametoa pongezi kwa wanaCCM na wananchi kisiwani Pemba kwa mapokezi makubwa…

Soma Zaidi
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananhi wa Zanzibar wakati wa hafla ya mapokezi ya Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM

MAPOKEZI YA MGOMBEA WA URAIS WA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amesema uamuzi wa CCM kumteua Dk. Hussein Ali Hassan…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na familia ya Marehemu Haji Nassib Haji (Nyanya) alipofika nyumba kwa marehemu bububu.

DK.SHEIN AMETOA MKONO WA POLE.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ametoa mkono wa pole kwa familia ya Marehemu Mzee Haji Nasibu Haji Nyanya aliyefariki dunia alfajiri ya kuamkia Jumamosi…

Soma Zaidi
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikoa cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakati wa kupitisha jina la Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.

KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA JIJINI DODOMA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ambaye pia, ni Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar amesema kuwa mchakato wa kumpata mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar…

Soma Zaidi