Habari

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika katika jengo hilo leo Maisara Mjini Zanzibar.

UZINDUZI WA JENGO LA WIZARA YA ARDHI,NYUMBA,MAJI NA NISHATI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameeleza kuwa ujenzi wa majengo bora ya Serikali ni azma iliyoanza mara tu baada ya Mapinduzi matukufu ya Januari…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika Mkutano wa Baraza la  Tisa la Wawakilishi kabla ya kulivunja rasmi katika ukumbi wa mkutano wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar.

DK. SHEIN AMELIVUNJA BARAZA LA TISA LA WAWAKILISHI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali itaendelea kuhakikisha hali ya amani na utulivu iliopo nchini inaendelea kudumu kabla na baada ya…

Soma Zaidi

UTEUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa wenyeviti wa Bodi katika Taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

Soma Zaidi

UTEUZI

Soma Zaidi

UTEUZI

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 61(2) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

Soma Zaidi

Utekelezaji wa haki za Binaadamu na Utawala Bora Zanzibar ni azma ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa mafanikio ya utekelezaji haki za binaadamu na utawala bora Zanzibar yanatokana na utekelezaji wa azma…

Soma Zaidi

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kuregeza masharti iliyoyaweka ya maradhi ya Corona

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kuregeza masharti iliyoyaweka hapo awali katika mambo kumi ya kuyadhibiti maradhi yanayosababishwa na maambukizi ya virusi vya Corona hatua kwa hatua.Rais…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Maofisa Wadhamini Pemba wakati wa ziara yake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba

DK.SHEIN AMEKUTANA NA MAAFISA WADHAMINI PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka Maafisa Wadhamini kisiwani Pemba kufanya kazi ya kukabiliana na maafa kwenye maeneo ambayo wananchi wameathirika…

Soma Zaidi