Habari

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWANAHARAKATI BIBI SITI BINT SAAD.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti bint Saad kumtangaza mwanaharakati huyo pamoja na kuzitangaza kazi zake…

Soma Zaidi

Dk.Shein amezungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe:Simbachawene.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza haja kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuendelea kusimamia amani na usalama wa wananchi pamoja na mali…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akilifungua Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar

JUKWAA LA KUMI LA BIASHARA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya awamu ya saba imejitayarisha kikamilifu kufanikisha dhana ya uchumi wa Bahari, ikiwa ni utekelezaji…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozo wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Sahabi Isa Gada akiwa na  Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria

DK.SHEIN AMEWAKARIBISHA WAWEKEZAJI NA WAFANYABIASHARA WA NIGERIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka Nigeria kuja kuekeza Zanzibar katika sekta yoyote wanayoitaka.

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua kikao cha Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

MKUTANO WA BARAZA LA TATU LA BIASHARA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kuhakikisha inagawa miche ya Mikarafuu iliyokomaa ili kuepuka…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEKUTANA NA BALOZI MDOGO WA JAMHURI YA WATU WA CHINA.

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imemuhakikishia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kuwa Watanzania wote walioko nchini China wako salama huku nchi…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kila Idara ya serikali ina jukumu la kuhakikisha inafanya tafiti ili kuzipatia ufumbuzi changamoto mbali mbali…

Soma Zaidi

UTEUZI

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 54 cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 na Kifungu cha 11(1) cha Sheria ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Namba 3 ya mwaka…

Soma Zaidi