Habari

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Chama Cha Madaktari Tanzania Dr.Elisha Osati  wakati wa mapokezi alipowasili katika ufunguzi wa Kongamano la 10 na Mkutano Mkuu wa Chama cha Wapatholojia (A

KONGAMANO LA 10 LA KISAYANSI NA MKUTANO MKUU WA WAPATHOLOJIA.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeamua kuwekeza kwa nguvu zake zote katika kuiendeleza fani ya patholojia kwa ajili ya maendeleo ya afya hapa nchini hasa ikitambua kwamba afya ndio mtaji wa…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika mkutano wa utekelezaji  wa  mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa

UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA,SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kuongoza kwa kufuata sheria,…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika mkutano wa utekelezaji wa  mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpan

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuna umuhimu kwa Wizara na taasisi za Serikali kushirikiana ili kufanikisha utekelezaji wa miradi mbali mbali…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar ,wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Wizara hiyo juazia mwezi  wa Julai 2018 hadi Jun

DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa nia ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni kuhakikisha sauti za Wajasiriamali zinasikika na zinafanyiwa…

Soma Zaidi

Lugha ya Kiswahili ni kiunganishi kizuri kukuza ushirikiano na uhusiano kati ya Rwanda na Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa lugha ya Kiswahili itakuwa ni kiunganishi kizuri katika kukuza ushirikiano na uhusiano kati ya Rwanda…

Soma Zaidi

Dk.Shein amesisitiza Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi kuongeza kasi katika kufanya Utafiti

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja kwa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kuongeza kasi katika kufanya utafiti kwani sekta…

Soma Zaidi

Dk.Shein amefungua Hoteli ya Kisasa ya Utalii Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa kujengwa kwa hoteli ya kisasa ya Madinat El Bahr ni hatua kubwa ya mafanikio katika mipango ya maendeleo…

Soma Zaidi