Media

BARAZA LA IDD EL HAJJ.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewasisitiza wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutoa…

Read More

DK. SHEIN AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MOROGORO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk. Kebwe Stephan Kebwe kufuatia ajali ya kuripuka kwa lori…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Ufungaji wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC,uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

DK. ALI MOHAMED SHEIN AMEFUNGA MAONESHO YA NNE YA WIKI YA VIWANDA YA SADC.

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zinaendelea kuchukua hatua za kisera na za kimkakati katika ujenzi wa uchumi wa viwanda ili Jamhuri ya Muungano…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimsikiliza  Mwakilishi wa Shirika la UNESCO Tanzania Bw.Tirso  Dos Santos wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha .

DK.SHEIN AMEKUTANA NA MWAKILISHI WA UNESCO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza umuhimu wa kukuza uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Shirika la Umoja…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia Meli Mpya ya Mafuta ya MT.UKOMBO II,Ikiwasili kuelekea katika bandari ya Malindi Zanzibar ikitokea Shanghai Nchini China, iliyotengenezwa na Kampuni ya Damen Ship

KUWASILI KWA MV MKOMBOZI II

HATIMAE ahadi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein aliyowaahidi wananachi wa Zanzibar kuwa Serikali anayoiongoza itanunua meli mpya ya mafuta MT MKOMBOZI…

Read More

Dk.Shein amefanya Uteuzi

AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Walioteuliwa ni Ali…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiponyeza kitufe kuashiria kuyafungua Maonesho ya Kilimo Zanzibar katika viwanja vya Kizimbani Wilaya Magharibi

DK. SHEIN AMEFUNGUA MAONESHO YA KILIMO KIZIMBANI ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Saba ina dhamiria kuendeleza sekta ya kilimo kwa gharama yoyote…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili Uwanja wa Kimataifa waAbeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Uingereza kwa ziar

DK.SHEIN AMEWASILI ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI UINGEREZA KWA ZIARA MAALUM.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amerejea nchini leo akitokea Uingereza.

Read More