Dk. Mwinyi amelihutupia Baraza la Wawakilishi na kusema atalivunja rasmin ifikapo tarehe 13 Agosti 2025.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza kuwa atalivunja rasmi Baraza la Kumi la Wawakilishi ifikapo tarehe 13 Agosti 2025.Akizungumza katika…
Soma Zaidi