News and Events

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amezitaka taasisi zinazowasafirisha Mahujaji pamoja na Masheikh na Walimu kuendelea kuwapa moyo Waislamu waliokosa fursa ya kwenda Hijja kutokata tamaa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amezitaka taasisi zinazowasafirisha Mahujaji pamoja na Masheikh na Walimu kuendelea kuwapa moyo Waislamu waliokosa…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kuwepo kwa Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF),  ni njia moja wapo ya kuukuza na kuutangaza utalii pamoja na urithi wa Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa kuwepo kwa Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF), ni njia moja wapo ya kuukuza na kuutangaza…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishauri Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kuandaa Kalenda maalum ya kufanyika kwa Mashindano ya Kimataifa ya Marathon.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishauri Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kuandaa Kalenda maalum ya kufanyika kwa Mashindano ya Kimataifa ya Marathon…

Read More