English
Swahili
Toggle navigation
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
Home
President's Office
Overview
Vision & Mission
The President
Presidential History
Contact Details
Administration
Revolutionary Council
Management
Media
Announcements
News and Events
Speeches and Statements
Press Releases
Photos
Videos
Videos (Youtube)
Publications
Speeches
Action Plans
Publications
Reports
Budgets
Blog
Contact Us
Videos
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Rais wa Zanzibar amekutana na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza.
Mahafali ya Ishirini(20) ZU Tunguu
Wafanyakazi wa Afisi ya Rais Pemba wamempokea Rais wa Zanzibar
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Ndg. Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa wafanyakazi wa Ofisi yake Ikulu Zanzibar.
Dk. Mwinyi amezindua Taasisi ya Afisi ya Rais ya Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini ( PDB), hafla iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar
Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa Taifa kuongeza wataalamu wenye uwezo wa hali ya juu, ili kuongeza ufanisi katika kukabiliana na magonjwa ya figo hapa nchini.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mheshimiwa Chariottan Ozaki Macias
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa 6 wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika, mkutano huo uliyofanyika katika ukumb
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na wahariri wa vyombo vya Habari na waandishi wa Habari Ikulu Zanzibar
Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Umoja wa Wanabima Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika
Mkutano wa Mhe:Rais Jumuia ya Istiqama Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kupokea mkono wa Eid Fitry
Mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Qurani Tanzania.
Ziara ya Rais wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Kisiwani Pemba 13/04/2022
Ziara ya Rais wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Kisiwani Pemba
Ziara ya Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Kisiwani Pemba
Mkutano na waandishi wa Habari
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria kumbikizi ya mwaka mmoja wa hayati John Pombe Magufuli uwanja wa Magufuli Chato Mkoani Geita.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa kwanza wa Mwaka wa Asasi za kiraia Zanzibar.
Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa Kimataifa wa uwekezaji Sekta ya Maji Barani Afrika
Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Maadhimisho ya siku ya wanawake Ulimwenguni.
Rais wa Zanzibar Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi amekuatana na Balozi wa Indinesia Nchini Tanzania
Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na mfanyabiashara na mdau wa utalii Duniani Bw. Nicholas Reynolds
Ufunguzi wa Hospitali ya Kidimni Zanzibar
Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa kuzingatia haki na uadilifu kwa kutambua dhima kubwa waliyonayo kwa Mwenyezi Mungu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Zanzibar Maishabora Foundation Bi.Mwanaidi Mohamed Ali akizunagumza na Waandishi mbali mbali kwa uzinduzi wa Taasisi hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna Mkuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Salum Yussuf Ali
Hotuba ya ufunguzi wasemina ya Makatibu Wakuu na watendaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Salam za Mhe: Mama Mariam Mwinyi
Hutuba ya Rais na Waandishi wa Habari - Jan 2022
Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya mahojiano na waandishi kutoka vyombo mbali mbali vya habari hapa nchini
Dk. Hussein Ali Mwinyi amezungumza na waandfishi wa vyombo vya Habari
Mkutano na Waandishi wa Habari tarehe 31 Januari 2022 Ikulu Zanzibar
Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza hatua za Serikali ya Ujerumani za kurejesha uhusiano na ushirikiano wa kimaendeleo kati yake na Zanzibar.
Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza hatua za Serikali ya Ujerumani za kujesha uhusiano na ushirikiano wa kimaendeleo kati yake na Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua maadhimisho ya wiki ya Sheria Tanzania inayofanyika Jijini Dodoma.
Raisi Dk.Hussein Ali Mwinyi atoa Salamu za Winter Olympics 2022