RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.