RAIS wa Zanzibar na MBLM ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akikata utepe kulifungua Jengo Jipya la Tawi la CCM Sebleni.

RAIS wa Zanzibar na MBLM ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akikata utepe kulifungua Jengo Jipya la Tawi la CCM Sebleni Jimbo la Kwahani na (kushoto kwa Rais) Mbunge wa Jimbo la Kwani Mhe Ahmada Yahya Abdulwakil