RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr. Peter Mutuku Mathuki na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngoga Karoli, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe wa Bunge la Afrika Mashari ulipofika Ikulu Jijini