RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Maabara Hospitali ya Micheweni Pemba Dkt. Shahid Mansoor, alipotembelea Maabara ya hospita hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Maabara Hospitali ya Micheweni Pemba Dkt. Shahid Mansoor, alipotembelea Maabara ya hospitali hiyo akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.