RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanafunzi na Walimu wa Skuli ya Sekondari ya Dr.Amani Abeid Amani, baada ya kupokea taarifa ya changamoto za Skuli hiyo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanafunzi na Walimu wa Skuli ya Sekondari ya Dr.Amani Abeid Amani, baada ya kupokea taarifa ya changamoto ya kukosa Dakhalia kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.