RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Noor Muhammad Mombasa kwa Mchina