RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.,Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Al-Noor Unguja Ukuu Kaepwani Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.,Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Al-Noor Unguja Ukuu Kaepwani Wilaya ya Kati Unguja na (kulia kwa Rais) Msimamizi wa Ujenzi wa Msikiti huo Sheikh Feisal Al-kindi na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid, hafla ya
ufunguzi huo iliyofanyika leo 26-11-2021.