Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akiteta na Rais Mstafu wa Zanzibar Mhe.Salimin Amour Juma (Komndoo) wakati alipofika Nyumbani kwake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akiteta na Rais Mstafu wa Zanzibar Mhe.Salimin Amour Juma (Komndoo) wakati alipofika Nyumbani kwake kumsalimia katika Kijiji cha Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kujumuika na Viongozi na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Hitma na Dua maalum ya kuwaombea Wazee.