Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Simai Mohamed Said wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD)