Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Mpango wa Ujenzi wa Bandari ya Mwangapwani Zanzibar (Master Plan) na Mkurugenzi Mtendaji wa OIA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Mpango wa Ujenzi wa Bandari ya Mwangapwani Zanzibar (Master Plan) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman Bw. Mohamed Al Tooqi, hafla hiyo ya makabidhiano
imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar