RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitabasamu wakati akikabidhiwa mkoba maalum ukiwa na ujumbe wa maneno ”Wanawake Wana Haki ya Kuongoza”.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitabasamu wakati akikabidhiwa mkoba maalum ukiwa na ujumbe wa maneno ”Wanawake Waha Haki ya Kuongoza” na Mwakilishi
Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi.Hodan Addou na (kushoto kwa Rais)Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, baada ya kumaliza mazungumzo na mgeni wake yaliofanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar.