RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu John Pombe Magufuli.

RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu John Pombe Magufuli,alipofika nyumbani kwa marehemu kusalimia familia ya marehemu Chato na (kushoto) Mjane wa Marehemu Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi