RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania.Mhe.Mubarak Mohammed Alsehaijan, alipofika Ikulu kwa mazungumzo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania.Mhe.Mubarak Mohammed Alsehaijan, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.