RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Efatha. Bw. Josephat Elias Mwingia, baada ya kumaliza mazungumzo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Efatha. Bw. Josephat Elias Mwingia, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.