RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuhutubia katika mkutano maalum ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kumpongeza Rais

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuhutubia katika mkutano maalum ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.