Taarifa kwa vyombo vya   Habari

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Viongozi katika Taasisi mbali mbali za Umma kama ifuatavyo:-
1. Ndugu Hassan Simba Hassan ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Kurusha Maudhui (ZMUX)
2. Ndugu Mwalimu Ali Mwalimu ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo
3. Ndugu Omar Salum Mohamed ameteuliwa kuwa Kamishna wa Utamaduni katika Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo.
4. Ndugu Hiji Dadi Shajak ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Kurusha Maudhui (ZMUX)

inaendelea PDF chini

Download File: